Gumzo juu ya udhalilishaji watoto Zanzibar: Mchango wa Wanadiaspora
Awamu hii ya utawala visiwani Zanzibar imeliweka tatizo la udhalilishaji watoto kuwa sehemu muhimu ya ajend zake za kitaifa. Kwenye GUMZO tunaangalia kile ambacho Wazanzibari wanaoishi nje ya nchi yao wanachoweza kuchangia kwenye mapambano haya. Wachangiaji mada ni Maalim Sabri Mohammed, Sheikh Ibrahim Ja’afar na Ustadh Khamis Kessi, wote wakiwa nchini Uingereza.
cisco academie