🔴#LIVE: MSEMAJI MKUU Atoa MSIMAMO wa SERIKALI – "HATUTAFUNGIA WATU NDANI, JIFUNGIE MWENYEWE UKITAKA"
🔴#LIVE: MSEMAJI MKUU Atoa MSIMAMO wa SERIKALI – “HATUTAFUNGIA WATU NDANI, JIFUNGIE MWENYEWE UKITAKA”
SERIKALI imeeleza kwamba, kutokana na muingiliano na mataifa mengine duniani, haiwezi kuepuka tahadhari juu ya maambukizi ya virusi vya corona ( COVID-19). Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam.
Akizungumza na wanahabari leo tarehe 31 Januari 2021, kuhusu ziara ya Rais John Magufuli Kanda ya Ziwa, Msemaji wa Serikali, Dk. Hassan Abbas amesema, pamoja na muingiliano huo, watu wasitishwe.
“kwa sababu ya muingiliano kati ya sisi na dunia, hatuwezi kuepuka kuendelea kuchukua tahadhari. Kwa hiyo Watanzania waendelee kuchukua tahadhari lakini tusiwe na woga wala tusichomekewe mawazo na mikakati ya watu wengine.
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline
cisco academie